Bi Fatuma akisaini makubaliano na Mkurugenzi mtendaji wa CRDB, Charles Kimei.
Bi Fatuma Karume akisimulia historia ya Yanga kwa wanahabari.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza, Bi Fatuma Karume.
Mama Karume akionyesha kadi yake ya uwanachama wa Yanga aliyopewa na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Charles Kimei.
MJUMBE wa Bodi ya Udhamini ya Yanga ambaye pia ni mke wa aliyekuwa
Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Bi Fatuma Karume, leo amepokea kadi mpya ya
uwanachama wa timu ya Yanga kutoka Benki ya CRDB.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya benki hii eneo la
Posta, huku waandishi wa habari na wadau mbalimbali wakishuhudia
makabidhiano hayo.
0 comments:
Post a Comment