RAIS MAGUFULI AKIRI KUPENDA MUZIKI WA MWANA FA HASWA DUME SURUALI

Mwana FA,ambaye ni mwana muziki waa kizazi kipya amefurahishwa sana na kitendo cha Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaina kumpigia simu na Kumpongeza msani huyo, Raisi Magufuli alisema kua yeye ni mpenzi wa kazi za msani huyo haswa wimbo wa wake mpya unao fanya vizuri zaidi kwa sasa  unaofahamika kwa jina la Dume Suruali alio mshirikisha Vanessa Mdee. Mwana FA  alitoa taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa twitter kuelezea tukio hilo
Hii ni muendelezo wa Matukio yanayo onyesha ukaribu wa Raisi na wanamuziki wa hapa nnchini kwani amekua akiweka wazi upendo wake dhidi ya kazi zao za sanaa kwani siku chache zilizo pita alimsifia Msani Diamond Platnumz alipokua akifanyiwa mahojiano na kipindi cha Television cha Clouds TV  na pamoja na hivi karibuni pia aliamuru kuachiwa huru kwa mwanamuziki wa kizazi kipya anaye fahamika kwa jina Ney wa Mitego aliokua akishikiliwa na polisi dhidi ya wimbo wake wa Wapo , Rais alisema kua kua wimbo huo hauna madhara  nakushauri aongezee vionjo katika wimbo huo azungumzie pia masuala ya rushwa  pia.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment