Msani huy ameweka picha za gari hilo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unaonyesha gari hilo ni mali yake.
Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika, “Jus decided to get this for my south africa’s up and downs trip…..#SideChick.” @zarithebosslady kidogo changu mimi nawe, kikubwa cha Barabuu… Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka Roho juu…. so proud to have you mama, tukutane kwenye kuliwakilisha Taifa kwenye Mashuka leo@zarithebosslady ,” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo
0 comments:
Post a Comment