Raisi Magufuli atoa tamko la kupinga upandishwaji wa bei za Umeme. 2017

Raisi asisitiza kupunguza gharama za umeme na kuwa ataendelea kutumbua majipu. Ameyasema hayo alipohudhuria ibada ya huko bukoba cathedral ambako yupo kwa ziara ya siku mbili mkoani hapo.

Image result for raisi magufuli


liyoanza leo ambapo katika hotuba yake amesisitiza hatua ya serikali kuzuia ongezeko la gharama za umeme.

    
Rais Magufuli amesema  

"Umeme unakwenda mpaka kwa masikini walioumbwa kwa mfano wa Mungu alafu Mtu pekee sababu ya cheo unapandisha bei ya umeme
Haiwezekani unapanga mikakati kujenga viwanda na kusambaza umeme vijijini alafu Mtu sababu ya cheo chako unapandisha bei ya umeme"


Namshukuru Waziri wa Nishati ameshatengua maamuzi kwahiyo umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitaendelea kuyatumbua‘- Rais JPM
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment