JAY DEE :NASHUKURU MWAKA 2016 KWA KUFANIKISHA KUPATA HATI YA TALAKA

Image result for lady jay deeHatimaye Lady Jay Dee aweka wazi kutoka moyoni mwake kua mwaka 2016 ulikua ni mwaka wenye mengi lakini kubwa haswa atakalo likumbuka katika 2016 ni kufanikisha kupata hati ya Talaka ya ndoa yake na Gadna G Habashi ameeleza hayo katika ukurasa wake wa instagram.....................@jidejaydee   akiweka picha mbili moja ya CHETI CHA NDOA pamoja na HATI YA TALAKA nakuandika ujumbe huu ''

No. 4 (Funga Mwaka)
Katika vitu vikubwa ninavyoshukuru 2016
Ni kutoka katika Cheti cha juu na kuingia Cheti cha chini 🙏🙏
Bila kujali wanafikiria nini 🙋🏻🙋🏻 Nilifanya hivyo kwa manufaa na furaha yangu , maisha yangu na familia yangu
Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu kwani haikuwa kazi rahisi ukizingatia swala la kuogopa watu wata ku judge vipi
Baada ya battle ya nafasi ya takribani miaka miwili 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽 Naomba makofi tafadhali 👏👏👏👏
Sitegemei tena kauli za nilikufanyaje sijui miaka kadhaa, au emoji zisizo eleweka.
Utoto huooooooo
Mtu aki move on hana haja kufanya utoto wote huo , uki move on hujali chochote
Kwa neema ya Mungu nawaombea
Wote ambao hamja get over situations mbarikiwe mtoke kwenye kuwaza past

Maisha mbona ni matamu tu ukiamua
#KataaKuwaMtumwa
#ChaguaKuwaNaFuraha
#GutsOverFear
#Komando
#MoveOnNigga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂"

 

 

 




Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment