Diva sio Loveness tena kuanzia sasa! Mtangazaji huyo wa Clouds FM
amebadilisha jina lake mahakamani na kuwa ‘Diva Gissele D. Malinzi’
Diva ameaimbia Bongo5 kuwa kuanzia Jumatatu ijayo atabadilisha kila
kitu kilichokuwa na jina lake la zamani ‘Loveness’ baada ya kula kiapo
mahakamani cha kubadilisha jina.
Kwenye kiapo hicho, Diva amedai ameamua kubadilisha jina hilo kwa
sababu za kikazi kwakuwa amekuwa akitumia jina ‘Diva’ kwa kipindi kirefu
sasa.
“Professional purpose plus hayo ni majina yangu I so wanted ever
since nakuwa, so amma grown up in my 20s, living in my own world, it’s
Diva World I just live in it,” Diva ameiambia Bongo5 kuhusiana na sababu
za kubadilisha jina.
“It’s Official I go by the name Diva Gissele Love ongeza surname
mbele then we good to go. No More Loveness #abandoned and this deed
already registered .. Thanks to My Lawyer Herry Munisi from Crest
Attorneys . United Republic of Tanzania #ChangeOfName,” ameandika kwenye Instagram.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment