Miguu ya muimbaji wa Marekani Taylor Swift ina thamani ya $40 million! – ripoti.
Taylor Swift
Inadaiwa kuwa Taylor Swift ameikatia miguu yake bima ya dola milioni 40 (zaidi ya shilingi bilioni 73 za Tanzania).
Taylor (25) anatarajia kuanza ziara yake ya dunia mwezi May mwaka
huu, hivyo timu yake inasemekana imeona ni vizuri kuchukua tahadhari ya
miguu ya staa huyo kwa ajali yoyote inayoweza kujitokeza wakati akifanya
maonesho yake, chanzo kimeliambia jarida la National Enquirer.
“It seems like a ludicrous sum, but if something was to happen to her
legs, Swift wouldn’t be able to give her signature stage performances,
Her $200 million career would be in big trouble.” kilisema chanzo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment