Picha: Ruby Band yatambulishwa rasmi na kuzindua video mpya
Vijana wa Ruby Band wakifanya yao
Akizungumza na waandishi wa habari, msemaji wa bendi hiyo, Deogratius Shija alisema anawaomba wadau na mashabiki wa muziki kuwapokea wasanii hao.
Ruby Band wakiwa na msemaji wa band hiyo, Shija
“Vijana wapo vizuri sana, wadau wapokee video mpya ya wimbo Noma, pia kuna wimbo maalum kwaajili ya kuelisha watu kuhusu mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Video ya Noma imeongozwa na Rashid Mrutu,” alisema Shija.
Ruby Band imeundwa na wasanii wanne, Kwea Pipa, Maya Mpogoro, C.Miner pamoja na Sumalay.
Baadhi ya wasanii wa bongo movies
Duma wa Siri ya Mtungi, Shija pamoja na mdau
Vijana wa Ruby Band wakifanya yao
Vijana wakionyesha uwezo wao
Wadau walijitokeza
0 comments:
Post a Comment