Meninah kwenye uhusiano na Baraka Da Prince? #UHEARD March6 2015…

U Heard ya leo Soudy Brown kafikishiwa tetezi za kuwepo uhusiano kati ya wasanii wawili Bongo Fleva, Meninah na Baraka Da’ Prince.
Taarifa zilizomfikia Soudy ni kwamba Baraka amekuwa anaonekana mara kwa mara nyumbani kwa akina Meninah maeneo ya Tabata na hivi karibuni alionekana kwenye duka moja Kinondoni akimnunulia Baraka nguo.
Soudy Brown amemtafuta Meninah ambaye amesema kuwa hawana uhusiano wowote ila Baraka ni mdogo wake ambaye walijuana kabla hajawa msanii na ukaribu wao wa sasa unatokana na wimbo aliomtungia na tayari ameshaurekodi, kuhusu ishu ya kutoa ujauzito wa Diamond amesema hakuna ukweli wowote.
Huenda umepitwa na unatamani kumsikia Gossip Cop kwenye U Heard hii, bonyeza play hapa …
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment