Oya baby make me collabo! ni maneno yanayosikika kwenye ile Ile Collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu huku mashabiki wengi wakiamini kupata burudani ya aina yake kutoka kwa wakali wa Nigeria P-Square wakimshirikisha boss wa mavin record star Don Jazzy, video ambayo ilifanyiwa Afrika Kusini siku chache zilizopita ikiongozwa na kaka wa P-Square anaeitwa Jude Okoye akishirikiana na Clarence Peters, wimbo unaoitwa Collabo.
Tumia dakika zako nne hapa mtu wangu kwa kuitazama.
0 comments:
Post a Comment