VAN VICKER AJA NA BONGO MOVIE

a2 poster (FILEminimizer) 

Kampuni ya Proin promotions – buy quality bongo movies here ambayo wiki mbili zilizopita iliingiza filamu yake mpya na kali na iliyovunja rekodi katika Soko hapa nchini ijulikanayo kama MAPENZI YA MUNGU ambayo imechezwa na Lulu, Linah na Mama Kanumba sasa Kampuni hiyo kuingiza sokoni Filamu yake nyingine Muda mfupi ujao iitwayo NEVER GIVE UP ambayo filamu hiyo imechezwa na Slim, Hashim Kambi, Irene Paul na Msanii Nguli na wa kimataifa kutoka Nchini Ghana Van Vicker…
Ni filamu ambayo jina lake limehakisi Maudhui yaliyomo ndani ya Filamu hiyo……Kaeni Mkao wa Kula kitu kingine Kikali hiko kinakujia
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment