Hizi ni baadhi ya picha za waigizaji Yusuph Mlela na Esha Buheti
wakiwa nchini Marekani ambako wamekwenda kufanya kazi (Filamu) wakiwa
chini ya kampuni ya Didas Entertainment ambayo kampuni inajihusisha
maswala ya filamu na burudani kwa ujumla.
Tunawatakia kazi njema.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment