je unamjua mtu aliyegundua simu ? mcheki hapa

 
Huyu ndiye mgunduzi wa simu
 
mgunduzi wa simu aliye keti:  Alexander Graham Bell
Mnamo mwaka 1876 tarehe 11 mwezi march bwana Alexander Graham Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. alizaliwa mnamo  mwezi March  tarehe 3, mwaka 1847  na kufariki dunia –mwezi August tarehe 2, mwaka  1922. Baba yake babu yake na kaka yake wote walikua wakijihusisha na maswala ya namna ya uzungumzaji pamoja matamshi yanii (elocution and speech).

Wakati mkewe ndiye aliye mvutia na kumshawishi Alexander Graham Bell aweze kuzama ndani zaidi ki uchunguzi kwa kufanya uchunguzi katika matamshi na usikilizaji baadae alikwenda zaidi kuchunguza ni jinsi gani vifaa vya kusikilizia sauti hufanya kazi hapo ndipo alipo weza kuibuka na simu yakwanza yenye kufanya kazi.
 Alizawadiwa tuzo iliyo fahamika kama first U.S patent mnamo mwaka 1847 pamoja na hayo alikataa kutumia simu kwa matumizi yake binafsi katika kipindi chake chote pamoja na kua alikuwa akiendelea na masomo....................
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment