DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE UGANDA-NI TUZO ZA HIP HOP MUSIC AWARDS


Picha ya Muwakilishi wa Diamond platnumz akionyesha tuzo aliyo shinda Diamond kutoka TZ

Msanii Diamond amekua akifanya vizuri katika Muziki na Kuitangaza vyema nchi yetu ya Tanzania katika Afrika na Duniani kote kwa ujumla, Msanii huyu amefanikiwa kuchukua tuzo nyingi na jana amenyakua tuzo nyingine kutoka nchini Uganda zinazo fahamika kama HIP HOP MUSIC AWARDS tuzo hiyo ameipata katika cartegory ya   EAST AFRICASUPER HIT.

Haya ndo maneno aloandika kutoa shukrani baada ya kupokea tuzo hizo
 

" Thank you so much Uganda / Hipipo Awards for this Award, it means alot to me.. i will always make sure that i work hard and give my East and Africa Proud.....S/O to my boy Tom Lee, and the all @wcb_wasafi team #East_Africa_Super_Hit #JusWokeuplikeDat   "

Katika kinyang'anyiro hicho walikuepo wasani kibao akiwemo OMMY DIMPOZ kutoka Tanzania na wengine kama wanavyo onekana hapa chini

  Nominees for East Africa Super Hit are_____

• Tayali Urban Boys Ft Iyanya
• Sitya Loss – Eddy Kenzo
• Ndagushima – Ommy Dimpoz
• Number One – Diamond Platnumz
• Nishike (Touch Me) – Sauti Sol
• Love You Everyday – Bebe Cool
• Kioo – Jaguar
• Baramushaka By Knowless


Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment