Baada ya mwaka jana 2014 kuuvunja ukimya uliotawala kwa miaka mingi kwa
kuachia single ya ‘Mwana’, Alikiba anategemea kutoa wimbo wake mpya wa
2015.
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za
wimbo mpya uitwao ‘Chekecha Cheketua’ unaotarajiwa kutoka leo Ijumaa Feb 27.
Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man
Water.
Kutokana na ukubwa alionao na cheo cha ‘ufale’ ambacho amejipa,
maswali ambayo mashabiki wengi wanajiuliza ni je ngoma hiyo itafanikiwa
kuizidi ‘Mwana’?
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment