Treni la mizigo baada ya kupata ajali.
TRENI la mizigo limepata ajali eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam muda mfupi uliopita na kuangusha mabehewa yaliyokuwa na makontena ya Azam na Mohamed Enterprises.
Makontena yaliyokuwa yamebebwa na treni hilo la mizigo.
Kikosi cha Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) tayari kimefika eneo la
tukio kuimarisha ulinzi wa mali zilizokuwemo katika mabehewa hayo.
0 comments:
Post a Comment