SIDE BOY AFARIKI DUNIA

Sad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki
Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia hii Jana tarehe 29
Side amefikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.
Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.
Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua’.




rip
Ingawa Nafasi yake katika muziki wa Bongo Fleva ilikuwa ikipanda taratibu kulingana na aina ya muziki aliokuwa akiumba,single iliyomtambulisha zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva inaitwa Kua uone ambayo alimshirikisha Ally Kiba.
sideeeeMchana wa leo imetoka taarifa kuwa amefariki dunia ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja alikua amelazwa kwenye hospitali ya Nyangao iliyopo Mkoani Lindi ambako ndiko nyumbani kwao.
ss
Mipango ya mazishi imepangwa ambapo atazikwa kesho huko huko Lindi,Rest In Peace Side Boy,moja ya post zake kwenye mtandao wa Facebook aliandika ‘habari za usiku huu wapendwa!dua zenu zinahitajika coz hali yangu c poa kabisa’
Hii ni moja ya post za mwisho za Side boy kwenye page yake ya facebook
Hii ni moja ya post za mwisho za Side boy kwenye page yake ya facebook
Hii ni post nyingine kati ya post zake za mwishomwisho, mtoto Nasra ni yule aliekua amefichwa kwenye box kwa miaka minne
Hii ni post nyingine kati ya post zake za mwishomwisho, mtoto Nasra ni yule aliekua amefichwa kwenye box kwa miaka minne
Side Boy Alitoa single kadhaa ikiwemo Hujafa hujaumbika,Jifungue salama,Usimdharau Usiyemjua na Kua Uone,Hii ni moja ya single zake ambayo ili hit miaka 6 iliyopita inaitwa Kua uone.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment