WASTARA AVUTA NDINGA MPYA

CHEREKO! Ikiwa umepita mwaka mmoja tangu mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma ameongeza ndinga mpya na kuiacha ile ya zamani kwa muda.
  
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma.
Akizungumza na paparazi wetu, Wastara alisema gari hilo aina ya Toyota Cami alinunua kwa shilingi milioni kumi na tano na anamshukuru Mungu kwani fedha hizo zimetokana na muvi zake hivyo kwa sasa anamiliki magari mawili.
“Namshukuru Mungu kwa…

“Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania kwani mafanikio haya siyo kwa nguvu zangu bali ni kwa neema yake tu, ukweli kazi ya filamu inalipa ndiyo maana naipenda kwani gari hili limetokana na filamu zangu nilizocheza,” alisema Wastara.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment