BATULI: SITAKI HABARI ZA MTUNISI

WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.
Staa anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli akipozi.
Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini…
Stori: Gladness Mallya
WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.
Staa anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli akipozi.
Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa kila mtu ana maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na yeye ana mpenzi wake.
“Mimi kwa sasa nina maisha yangu na Mtunisi ana maisha yake nawashangaa wanaoniandama kwa maneno kwamba bado niko naye, jamani Mtunisi ana mke na mimi nina mpenzi hivyo sitaki kusikia habari hizo  kabisa,” alisema Batuli.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment