TIWA AELEZEA ALIVYO NYANYASWA

Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa, amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika.
msanii wa muziki nchini Nigeria Tiwa Savage
Tiwa amesema kuwa, alikabiliana na changamoto hii akiwa shuleni wakati walipokuwa wakiishi
Jijini London, rangi na lafudhi yake ya kinaijeria vikiwa ni vitu ambavyo vilimfanya aonekane tofauti na achukiwe na wenzake.
Tiwa ameweka wazi kuwa, msaada wake mkubwa kutoka katika shida hii ilikuwa ni mama yake
ambaye alimpa moyo kwa upendo na kumsaidia kuona thamani yake na ya asili yake, kitu
kilichomjenga kuwa mtu mkubwa leo.

Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment