Mario Balotelli
Klabu ya Liverpool imemsajili mshambuliaji machachari Mario Balotelli kwa paundi milioni 16.
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa
wameamua kumchukua mshambuliaji huyo ili kuziba pengo lililoachwa wazi
na Luis Suarez ambaye amehamia Barcelona.Balotelli ambaye mwaka jana alijiunga na timu ya AC millan kwa uhamisho wa paund milion 19 akitokea Machester City hadi sasa ameweza kufunga magoli 30 katika michezo 54.

0 comments:
Post a Comment