Paul Pogba kurudi Man united tena

wakiandika katika tovuti yaMan united kuwa sasa matibabu na check up za paul pogba yatafanyikia Aon trainning complex

Pogba to have medical at Aon Training Complex

Paul Pogba has been granted permission to have a medical in order to finalise his transfer from Juventus to Manchester United.
Jana August 7 2016 klabu ya Juventus ambayo ilikuwa inahitaji rekodi ya dunia ya usajili ya pound milioni 100 kama ada ya usajili wa staa huyo, imemruhusu staa huyo kufanya vipimo vya afya Man United.
Pogba ambaye ana umri wa miaka 23 aliondola Man United 2012 na kujiunga na Juventus kwa dau la pound milioni 1.5, Pogba amefanikiwa kushinda mataji manne ya Ligi akiwa na Juventus. Pogba atakuwa staa wa nne kusaliwa Man United chini ya Jose Mourinho baada ya  Eric Bailly, Ibrahimovic na Henrikh Mkhitaryan.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment