HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAKAMANI

Baada ya baadhi ya wanasiasa wa Chadema akiwemo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi katibu tawala wa Mkoa wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa.
Leo March 2 wamefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kusomewa shitaka. Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzie wanne wamekana mashitaka na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja
 
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment