Vanessa Mdee atua Lagos, kufanya yake katika Gidi Culture Festival Jumamosi hii

Vanessa Mdee na Victoria Kimani ni wasanii pekee wa Afrika Mashariki walioalikwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Gidi Culture Festival jijini Lagos, Nigeria.
 


Tayari muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ amewasili jijini humo kuungana na wasanii wakubwa wa Nigeria kwenye show hiyo itakayofanyika Jumamosi hii.
Tamasha hilo lililopewa jina la ‘Africa’s Biggest Beach Party litawakutanisha wasanii wengi wakubwa Afrika ambao ni pamoja na Waje, BurnaBoy, Awilo Longomba, Skales, MI, Sean Teasel na wengine.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment