Msikilize Mtu anayejigamba kuwa 'mungu' Kenya


.Je, umewahi kusikia mtu anajiita Mungu na ni binadamu wa kawaida na wafuasi wake wanaamini kuwa yeye ndiye muumba wao? Yuko magharibi mwa Kenya anajiita Jehova Wanyonyi na anadai kuwa yeye ndiye Mungu. Paul nabiswa alimtembelea kwake katika kijiji cha Chemororoch kilomita hamsini kutoka mji wa Eldoret na kuandaa taarifa ifuatayo.

Chanzo cha Habari hii ni BBC SWAHILI
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment