Picha: Hosteli za UDSM za Mabibo zaungua moto

Hosteli za chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM zilipo katika eneo la Mabibo zimeungua moto asubuhi ya leo.
image
Wanafunzi wakishuhudia hosteli ya Mabibo ikiungua moto
Chanzo kinadaiwa kuwa ni shoti ya umeme iliyotokea kwenye bweni la wasichana. Wanafunzi wawili walijeruhiwa na kupelekwa hospitali.
Jeshi la zimamoto lilifanikiwa kuuzima moto huo.
image
Umati mkubwa wa wanafunzi umeoneka ukishuhudia moto huo bila kuwa na kitu cha kufanya huku wengine wakijaribu kuokoa mali zao.
image
Picha zinaonesha kuwa moto huo umeanzia ghorofa ya juu ambako moshi mzito umetanda.
image
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment