New video: Vanessa Mdee - Nobody But Me ft. K.O Official Video

Mwanadada anae fanya vizuri katika tasnia ya mziki wa bongo flava ambaye pia ni mtangazaji wa kituo kimoja cha habari hapa  Tanzania , Namzungumzia Vanessa Mdee ameachia kichupa kipya cha wimbo wake alo mshirikisha K.O kutoka South Afrika mpaka sasa video hii ishapigwa katika tv station kubwa Afrika icheki mwenyewe ilivo tulia na utoe maoni yako
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment