New Music: Linex Ft. Diamond Platnumz – Salima

Linex akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya “Salima” linex anaonekana kutulia sana katika wimbo huu, kama kawaida yake ametumia lugha 3 ndani ya wimbo, amepanga mashairi mazito yenye hisia hakika wimbo upo sawa, Producer Tuddy Thamasi
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment