Mtanzania Mayunga ashinda shindano la #AirtelTRACEStar

Muimbaji wa Tanzania, Mayunga Jumamosi hii alishinda shindano la Airtel Trace Music Star lililoandaliwa kwa ushirikiano wa kituo cha Trace TV, Airtel na muimbaji mwenye asili ya Senegal, Akon.
11078950_1640752309489044_2004175639_n
Mayunga akiwa na Akon baada ya kutangazwa mshindi
Fainali za shindano hilo lililohusha nchi takriban 12, zilifanyika jijini Nairobi, Kenya ambapo Akon alikuwa mmoja wa majaji wa shindano.
10249302_1550781318519068_1517746496_n
Kwa ushindi huo, Mayunga amepata deal ya kuwa chini ya label ya Akon, Kon Live na Universal Music Group.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment