1 Nina Dobrev
Msichana mrembo kuliko wote Duniani. Ni M bulgarian mwigizaji kutoka Canada na pia ni model. alizaliwa Bulgaria amekulia Canada. Dobrev ameigiza filani nyingi tofauti tofauti , zikiwemo Fugitive Pieces,
Away from Her, Never Cry Werewolf na pia ameigiza series za drama. anpendelea sana kusafiri na kuigiza pia uigizaji kwake ni kitu cha kawaida. Amesomea kuigiza huko
Armstrong Acting Studios in Toronto, Ontario, Canada. Kilicho mtambulisha zaidi na kumpatia umaarufu ni movies.
2 Emmanuelle Chriqui
Ni Raia wa Canada pia na ni muigizaji. Chriqui alizaliwa huko Montreal, Quebec.anafahamika zaidi kwa ushiriki wake mzuri katika
HBO’s Entourage. Alijiingiza rasmi katika uigizaji akiwa na umri wa miaka 10. Chriqui alikua nominated katika
Best Actress
DVD Exclusive Award kutokana na uwezo wake mzuri kati ya wasichana 100. Alijizolea umaarufu zaidi kupitia
movie inayo fahamika kwa jina la
"You Don’t Mess with the Zohan" mwaka (2008)
3 Jessica Alba
Ni raia wa America Mwigizaji, model(Mwanamitindo) na ni mfanya biashara. Alianza kuigiza akiwa na miaka 13. Alba amekua akiitwa sex symbol. Ametimiza toka alipo anza rasmi kuigiza na ni mtu mchapakazi katika jamii. Anafahamika zaidi kupitia movie ya "Sin city" pamoja na "Fantastic Four".
4 Dianna Agron
Ni raia wa America Mwigizaji, dancer na pia ni mwanamziki. Ni Mwandaaji na pia ni mwandishi wa nyimbo , ni art na photographer wa tovuti ya
"You, Me, and
Charlie".Ni mzaliwa wa Savannah, Georgia. Alianza kucheza mziki akiwa na umri wa miaka mitatu. Anatumia muda wake mwingi katika kutumbwiza . Ametokea zaidi katika Matangazo ya Biashara . Alijizolea na kujiongezea umaarufu zaidi kupitia movie inayo fahamika kama "I am number four".
5 Monica Bellucci
Ni raia wa
Italia Mwigizaji na mwanamitindo . aliingia katika fani hiyo ya uigizaji akiwa na umri wa miaka 13. Uana mitindo alianza akiwa chuoni kimasomo katika chuo cha "University for
extra money". Ametokelezea katika
black and white TV commercial for
Dolce
& Gabbana. Kwa mtazamo wa wa Faransa wanaamini ndiye mwanamke mwenye monekano mzuri kuliko wote Duniani. Alitamba zaidi katika movie inayo fahamika kwa jina la "
Melena" mnamo mwaka (2000).
0 comments:
Post a Comment