Watu wengi sana wamekua wakijiuliza ni aina gani ya maisha Star huyu wa kike amekua akiishi
hii nikutokana na mwenendo wake wakimahusiano umekuwa si wakusimama mahali au upande mmoja.
kama tunavyo fahamu ni siku chache tuu tangu Star huyu atoke katika mahusiano na msanii super strar kutoka Tanzania maarufu kama Diamond platnumz na baadaye kusemekana tena kua yuko kimapenzi na msanii maarufu kutoka huko Afrika magharibi anaye fahamika kwa jina la Van Vicker
WEMA SEPETU AKIWA NA VAN VICKER WAKIWA KATIKA PROJECT
JEE SWALI NI KWAMBA YOTE HAYA NI KWA AJILI YA KULIPA KISASI AU KUMKOMOA DIAMOND?.....................kama ni komoa basiii ni hatarii tena ukizingatia kwa sasa ame amua kuanza new project na Ommy Dimpoz basi ni sheedah, kama kawaida yao mastaaa wetu wa bongo kwa sasa wakiwa katika mahusiano utasikia ooooh! "TUKO KATIKA PROJECT" HUU NI MFULULIZO WA PICHA KUTOKA KATIKA PROJECT ZA MASTA WA BONGO
0 comments:
Post a Comment