Haujapita muda mrefu tangu tumeona video ya one centimeter ya Jaguar akiwa amemshirikisha Iyanya kutoka Nigeria.
Leo nakusogezea hii nyingine kutoka kwake Jaguar video ni ya single ya ‘Huu Mwaka’ ambayo audio yake aliiachia mwezi uliopita na sasa hivi kaachia video hiyo.
Video imefanywa na Godfather kutoka Afrika Kusini, wimbo ambao una ujumbe wa kutia moyo katika safari ya maisha.
0 comments:
Post a Comment