Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs.
Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21.
If You’re Reading This It’s Too Late imeendelea kukamata pia chart ya R&B/Hip-Hop Albums, kwa kuuza kopi 129,000 katika wiki ya pili.
Hizi ni nyimbo 21 zilizomo kwenye chart ya Hot R&B/Hip-Hop Songs (dated March 7, 2015):
No. 4 – “Only,” Nicki Minaj, featuring Drake, Lil Wayne & Chris Brown
No. 5 – “Truffle Butter,” Nicki Minaj, featuring Drake & Lil Wayne
No. 9 – “Energy”
No. 16 – “Tuesday,” ILoveMakonnen, featuring Drake
No. 17 – “Legend”
No. 19 – “10 Bands”
No. 22 – “Blessings,” Big Sean, featuring Drake
No. 23 – “Know Yourself” (Debut)
No. 26 – “No Tellin'”
No. 27 – “Preach,” featuring PartyNextDoor
No. 28 – “6 God” (Debut)
No. 29 – “Used To,” featuring Lil Wayne
No. 32 – “Now & Forever”
No. 34 – “6 Man”
No. 38 – “Jungle”
No. 39 – “Star67″ (Debut)
No. 40 – “Madonna” (Debut)
No. 42 – “Company” Featuring Travis Scott” (Debut)
No. 43 – “Wednesday Night Interlude” featuring PartyNextDoor (Debut)
No. 45 – “6PM In New York”
No. 49 – “You & The 6″ (Debut)
Home / Entertainments /
isikupite /
Utaipenda
/ Home Privacy Policy Search Contact Us Bongo5.com Home Videos Music Photos Sports Contact Us Home / Entertainment / Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment