Collabo ya msanii wa kike wa Nigeria Waje na staa wa Bongo, Diamond Platnumz imeonekana kuwa na mapokeo mazuri zaidi nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa kituo cha radio Star Fm 91.5 Ibadan, ‘Coco Baby’ ndio wimbo unaoongoza kwa kuombwa zaidi na wasikilizaji nchini Nigeria kwa sasa.
UNAWEZA KUITAZAMA NYIMBO HIYO HAPA NA PIA UNAWEZA KU DOWNLOAD
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment