OFFICIAL VIDEO- BRACKET - AlIVE Ft. DIAMOND & TIWA SAWAGE
video ya BRACKET - ALIVE Ft. DIAMOND & TIWA SAWAGE Imetoka ikiwa na ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa kumsaidia mmoja kati ya wawili hao wanao unda kundi la bracket anae fahamika kama Vast aliye pona ugonjwa wa Canser ulokua ukimsumbua kwa kipindi cha mwakajana-2013 Nyimbo hii imetoka kama shukurani kwa Mungu aliye mwezesha Vast kupona na kuendelea kufanya kazi zake kama mwanzo pia ni shukurani kutokana na Mungu anavyo wasaidia nakuendelea kufanya vyema katika soko la muziki dunia nyimboo hiii imewakutanisha wakalii kutoka Nigeria(BRACKET & TIWA SAWAGE) pamoja na mkali kutoka Tanzania(DIAMOND )
0 comments:
Post a Comment