WITNESZ MWAIJAGA APATWA NA MSIBA

Msanii wa muziki wa miondoko ya bongo fleva nchini Witnesz Mwaijage ambaye ambaye hivi karibuni alkikuwa mja mzito na alitarajia kujifungua imekuwa bahati mbaya kwake kutokana na kupoteza watoto watarajiwa hao ambao walikuwa ni mapacha.
msanii wa bongofleva Witnesz Mwaijaga
Japokuwa msanii huyu hakupenda kuongelea zaidi juu ya tukio hili la kusikitisha lakini alijitahidi kuongea  nasi kutokana na kupoteza watoto hao alisema kua hana kwa sasa hana chakusema na anajitahidi kukabiliana na wakati huu mgumu alonao kwani yote ni mipango ya mungu....
BONGO FAME ina penda kutuma pole kwa dada yetu na mungu ampe wepesi katika kipindi hiki kigumu
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment