Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari
katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata
mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba
02-HCTP1801 ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona kinyume na
utaratibu.Bw.
Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF akiwasomea
waandishi wa habari maelezo yaliomo katika nyaraka hizo Baadhi ya wagonjwa mbalimbali wakisubiri huduma katika hospitali hiyoBaadhi ya wgonjwa mbalimbali wakipata huduma katika hospitali hiyo
Home / Bongo yetu /
News
/ NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment