Hiyo ndiyo hali ilivyo sasa katika bandari ya
Zanzibar wakati abiria wanaosafiri kati ya Zanzibar na Dar wamekuwa
wakipatiwa maelekezo ya ugonjwa huo wa Ebola kwa kuambiwa dalili zajkke
na atharizake,hatua hiyo uemanza kuchukuliwa nawizara yaafya ambapo
wahudumu wa wizara hiyokitengo cha afyawamekuewa wakitoa taahdhari hiyo
Adhi yaabiria wakiongea na itv walitoa maoni
yaokuhus mchaktohuo waebola ambapo wengine wameipongeza seriklai kwa
hatua hizo ingawa wengine wamekuwa na maoni taafuti kuhusu utaratibu huo
wakidai hatua hizo za kutoa matangazo pekee hazitoshi ila seriki lazima
iweke vifaa vyote vinavyotakiwa hapo bandarini na sio kunadi matangazo
pekee huku watnzaniawametakiwa kundelea kumuomba mwenzimungu ailinde
Tanzania.
Hata hivyo wakakti hatua hizo zimeanza kuchukuliwa
na wizara hiyo katika bandari kuu Zanzibar bado katika uwanja wa ndege
wa Zanzibar hakuna utaratibu wowote uanofanyika kutoa tahadhari wa
uogonjwa huo huku seriklai wiki iliyopita ilitangaza kuwa tayari hatua
zimeanza kuchukuliwa.
0 comments:
Post a Comment