Hatimaye Davido amezungumza kuhusu beef lake na Wiz Kid, unajua amejibu nini?
Kwenye internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wiz Kid na Davido wapo kwenye beef. Tetesi hizo zilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye social media ikionyesha kwamba kama kila mtu anajaribu kupiga kijembe mwenzake japokuwa hakuna aliyewai kumtaja mwenzake moja kwa moja.
Davido akiwa kwenye tour zake anazofanya Marekani amekutana na Sahara TV ambao wamemuuliza kuhusu hilo beeef kati yao. Hili ndilo jibu lake.
0 comments:
Post a Comment