Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara.
Ajali ya gari dogo imetokea jana majira ya saa 10 za jioni katika
maeneo ya Tazara jijini Dar es salaam. Dereva wa gari hili (Toyota
Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN) aliruka mapema kabla ya
tukio kutokea na alikuwa peke yake.Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba,
dereva alikosa uimara ktk kulikwepa gari aina ya fuso lililokuwa kando
ya barabara.Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment