AISHA BUI: MAISHA YAKI KAKAMAVU

MWIGIZAJI wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui, amesema ili kuyashinda maisha magumu Bongo, ni lazima uwe mkakamavu, kama yeye alivyolazimika kwenda kutengeneza filamu yake mpya ya Mshale wa Kifo, katika msitu wa kutisha ili kwenda tofauti na wengine.
Mwigizaji wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui.
“Nilijitoa maisha yangu kwa kuingia msituni kutengeneza filamu ya mapigano porini, kutafuta uhalisia, najua nina deni kwa wapenzi wa kazi zangu,…
Stori: Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui, amesema ili kuyashinda maisha magumu Bongo, ni lazima uwe mkakamavu, kama yeye alivyolazimika kwenda kutengeneza filamu yake mpya ya Mshale wa Kifo, katika msitu wa kutisha ili kwenda tofauti na wengine.
Mwigizaji wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui.
“Nilijitoa maisha yangu kwa kuingia msituni kutengeneza filamu ya mapigano porini, kutafuta uhalisia, najua nina deni kwa wapenzi wa kazi zangu, wanajua kuwa mimi ni bora hivyo lazima niwe bora kila mwaka,”anasema mwigizaji huyo.
Alisema maoni mengi ya watu yanaonyesha wanakerwa na kila filamu kuigizwa mijini tu, hivyo yeye akajitoa ili aende sambamba na mahitaji ya mashabiki wake, kwa kwenda katika misitu ya Morogoro vijijini kuifanya filamu hiyo, aliyowashirikisha pia Mzee Chilo, Salim Ahmed ‘Gabo Zagamba’ na wengineo, kazi iliyofanywa  Yuneda Entertainment.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment