
Washindi wa Olimpiki Camille Muffat, katikati, Florence Arthaud, wa pili kutoka kulia na Alexis Vastine wa mwisho kulia wakiwa pamoja na washiriki wenzao wakiwa njia kwenda kushoot kipindi cha reality cha ‘Dropped’. Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Sylvain Wiltord (katikatia kushoto) alikuwa kwenye show hiyo lakini hakuwa amependa kwenye helikopta hizo
Camille Muffat, 25, mwogeleaji aliyeshinda midani ya dhahabu kwenye shindano la wanawake la 400m freestyle mwaka 2012, bondia wa olimpiki, Alexis Vastine, 28, aliyeshinda midani ya fedha kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Beijing, 2008 ni miongoni mwa waliopoteza maisha.

Waliopoteza maisha ni pamoja na marubani wawili wa Argentina na raia wengine watano wa Ufaransa waliokuwa wakishiriki kwenye kipindi kiitwacho Dropped.
Mamlaka zimesema hadi sasa haijulikani chanzo cha ajali hiyo iliyotokea magharibi mwa jimbo la La Rioja jirani la milima ya Andes.
0 comments:
Post a Comment