Tazama
hapa video hii fupi yule mtoto Nice mwenye umri wa miaka mitatu ambaye
anaweza kufanya hesabu za sekondari na kuzungumza kingereza bila
kufundishwa. Hapa anakokotoa swali moja aliloulizwa alipokuwa kwenye
kipindi cha East Africa Breakfast cha East Africa Radio . SHARE na
washikaji 



0 comments:
Post a Comment