
Chameleone anatarajia kuachia wimbo mpya ambao kamshirikisha muimbaji huyo wa Reggae-Dancehall, Patoranking ambaye mwaka jana alikuja Tanzania kutumbuiza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014. Wimbo huo mpya unaotarajiwa kuachiwa hivi karibuni unaitwa ‘Only You’.
Chameleone ameshare mistari michache inayopatikana kwenye collabo hiyo:
“Girl you love is all I need,
Me and you were meant to be,
We shall live up to our destiny,
Only you girl bring out the best in me.”
0 comments:
Post a Comment