
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za wimbo mpya uitwao ‘Chekecha Cheketua’ unaotarajiwa kutoka leo Ijumaa Feb 27. Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man Water.

Kutokana na ukubwa alionao na cheo cha ‘ufale’ ambacho amejipa, maswali ambayo mashabiki wengi wanajiuliza ni je ngoma hiyo itafanikiwa kuizidi ‘Mwana’?
0 comments:
Post a Comment