COCO BABY YA WAJE FT DIAMOND YAWA GUMZO NIGERIA ahmed 18 December Music , Video Collabo ya msanii wa kike wa Nigeria Waje na staa wa Bongo, Diamond Platnumz imeonekana kuwa na mapokeo mazuri zaidi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa kituo cha radio Star Fm 91.5 Ibadan, ‘Coco Baby’ ndio wimbo unaoongoza kwa kuombwa zaidi na wasikilizaji nchini Nigeria kwa sasa. UNAWEZA KUITAZAMA NYIMBO HIYO HAPA NA PIA UNAWEZA KU DOWNLOAD Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About ahmed RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment