Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu.
...Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya
Rashid Makwiro ’Chid
Benz’amepata
dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya
kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana
kurudishwa rumande alipokuwa hajakamilisha taratibu hizo.
0 comments:
Post a Comment