Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda
nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za
utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho, Ikulu jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza
(kulia) na Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore
Kayihura mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar
es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za
utambulisha wa Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania,Balozi Hanne Maria
Kaarstad Ikulu jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (katikati)
akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.
Benard Membe kwa Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania, Balozi Hanne
Maria Kaarstad Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia)
akizungumza jambo na Balozi mpya wa Norway nchini Tanzania,Balozi Hanne
Maria Kaarstad Ikulu jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha
Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu
jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini hati za
kiapo cha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa
Ikulu jijini Dar es salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkabidhi
mwongozo wa kazi anayekwenda kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda,
Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment