
Msanii Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya ofisi za Global Tv Online.
Akizungumza na paparazi , Dude alisema michepuko ndiyo chanzo cha magonjwa na tasnia nzima ya filamu kuonekana haina maana hivyo ni vyema wasanii wakabadilika kwa kuiga mfano wake.
“Mimi kila ninapokwenda utaniona nipo na mke wangu lakini wasanii wengi wamekuwa wazito kutembea na wake zao kwa kuhofia michepuko kibao waliyonayo, wabadilike,” alisema Dude.
0 comments:
Post a Comment