Kwa mara nyingine Diamond platnumz afanikiwa kuwania tuzo ya Nyimbo bora Ya Africa katika tunzo za IRAWMA kupitia nyimbo yake ya Mdogo Mdogo, nyimbo yenye miondoko ya kiafrika
''Nashkuru sana Shabiki zangu pendwa.. Naamini support yenu ndio imefanya
nyimbo hii ya Mdogo Mdogo kuchaguliwa kuwania kuwa Nyimbo bora Ya Africa
katika tunzo za IRAWMA nchini America...na namini huu ni mwanzo tu! NOW
LET THE VOTING GAME BEGIN!!!'' hivo ndivyo alivo andika Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Facebook huku akiwaomba watanzania na mashabiki wake kumpigia kura ilikuweza kunyakua Tuzo hiyo na kuileta Nyumbani Tanzania
FUATA LINK HIII KUMPIGIA KURA DIAMOND PLATNUMZ NA WIMBO WAKE WA MDOGO MDOGO---http://irawma.com/irawma_vote2014
0 comments:
Post a Comment